4.Sehemu nyingi za eneo la Tanganyika ziliamuliwa ziwe misitu baada
ya...
5.Upelelezi zaidi ulifanywa na Waingereza waliojitahidi kutafuta misitu
mipya ili...
6.Shule ya waangalizi wa misitu ilifunguliwa Arusha mnamo
mwaka...ili...
7.Wananchi hawana budi kuipanda miti mipya zaidi kwa sababu...
8.Sehemu zilizokuwa zimepata watu wengi zaidi nchini Tanganyika ni
zile...kwa sababu...
9.Hapo zamani watu hawakuwa na maskani ya kudumu kwa sababu...
10.Mifereji ya kwanza ilijengwa na...katika miji ya ...
11.Kazi ya kujenga mabwawa ilianza baada ya...
12.Mito ya nchi inaweza kutumika kwa ajili ya...
Задание №5. Переведите глаголы в каузативной форме на
русский язык, определите их исходную форму:
-refusha, -sahihisha, -patanisha, -tosheleza, -tenganisha,
-shibisha, -tofautisha, -kataza, -kuza, -samehesha, -hamisha, -taabisha,
-zungusha, -chosha, -chekesha, -safisha, -andikisha, -ainisha,
-fananisha, -kondesha, -jaza, -kausha, -furahisha, -jiumiza, -sahaulisha,
-pasha, -komesha, -lisha, -laza, -otesha, -liza, -kosesha.
Задание №6. Образуйте словосочетания из следующих слов и
дайте им русские эквиваленты:
shamba, -fuga, kuku; chombo, -vuta, vumbi;
kiwanja, -cheza, mpira; vitu, -cheza, watoto;
kiwanda, -safisha, petroli; gari, -chukua, mizigo;
mafuta, -pika; chumba, -la;
meli, -pakia, ndege; wavu, -vua, samaki;
mashine, -fua, nguo; ghala, -weka, bidhaa;
Задание №7. Переведите словосочетания с помощью
определительной конструкции с инфинитивом:
книга для перевода; гости, которых нужно встретить; мысль,
которую стоит обдумать; решение, от которого стоит отказаться;