‘Sawa!’ akakubali Kobe. ‘Wewe ni mwerevu, lakini mimi ni
mwerevu zaidi kuliko wewe,’ akajisemea. Kisha Kobe akamwon-
goza Sungura kilimani. Kobe alipochukua muda mrefu kufika
kwenye kilele cha kilima Sungura akajisemea, ‘Bila shaka Kobe
atashindwa. Kobe huyu hawezi kutembea vizuri.’
Kobe alipomfikia Sungura akamwuliza, ‘Je, uko tayari?’
‘Ndiyo, niko tayari! Ndiye mimi anayekungojea!’ akasema
Sungura bila uvumulivu wowote.
‘Twende!’ alisema Kobe. Papo hapo aliingia ndani ya gomba lake
akashuka kilimani kama jiwe. Sungura alikuwa akikimbia mbio
awezavyo lakini hakuweza kumfikia Kobe.
Sungura, alipofika katikati ya kilima alisimama kumtazama Kobe
ambaye alikuwa ameshafika chini. Sungura alishindwa.
I
BRAHIM
: Sikumbuki matokeo kama hayo. Hadithi ya Sungura na
Kobe nilivyokumbuka inatofautiana na ile uliyonisimulia
leo.
K
ATHY
: Ndiyo. Kuna masimulizi mbalimbali ya hadithi hiyo,
lakini maadili ya hadithi ni sawa. Kama methali
inavyosema: ‘Aliyeko juu mngojee chini.’
Vocabulary
nilipokuwa when I was (ni + li + po + kuwa)
-lala sleep/lie down
-simulia tell a story, narrate
-ota dream (grow)
ndoto dream(s) (-ota ndoto, dream a dream)
-mojawapo (adj.) one of (hadithi mojawapo, one of the stories,
kitabu kimojawapo, one of the books)
sungura hare(s), rabbit(s)
kobe tortoise (pl. makobe)
-tokea happen, occur, appear
-husu concern, relate to, about
mbio speed, rate of speed, sprint
-jisifu boast, praise oneself
mwerevu someone who is sharp, clever, cunning
hapo zamani once upon a time
-tembea walk, walk around (-tembeatembea, walk here and
there, wander)
1111
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
4211
195