Katika miaka thelathini iliyopita wanawake na wanaume wengi
waliamua kuoa wakiwa na umri mkubwa zaidi. Kwa mfano, nchini
Kenya, katika mwaka 1969 asilimia 26 ya wanaume, na asilimia 76
ya wanawake wameolewa kabla hawajafikia umri wa miaka 25.
Katika mwaka 1998, takwimu hizo zimebadilika kuwa asilimia 16
ya wanaume na asilimia 58 ya wanawake ambao wameolewa.
Zaidi ya asilimia 10 ya wanawake wa Tanzania wenye umri zaidi
ya miaka 50 ni watalaka au wametengana na waume zao. Kwa
upande mwingine, karibu asilimia 7 tu ya wanaume wa Tanzania
ni watalaka. Katika nchi ya jirani, Kenya, idadi ya watu ambao
wametengana au walio watalaka wenye umri zaidi ya miaka 50
inapungua zaidi kuwa asilimia 3 kwa jinsia zote mbili. Nchini
Uganda, idadi ya watu ambao wametengana au walio watalaka
ndiyo kubwa zaidi kuliko zote katika Afrika Mashariki, kuwa asil-
imia 20 kwa jinsia zote mbili zenye umri zaidi ya miaka 50.
Vocabulary
mitazamo viewpoints, attitudes (sing. mtazamo)
-tofautiana be different
tofauti difference
-tokana na result/stem from
jinsia gender, sex
desturi custom(s), way(s)
-husika be involved, be concerned, be applicable
takwimu statistic(s)
kwa mfano for example (abbreviated k.m.)
asilimia per cent
hali while, seeing that, when
rika age group, contemporary, peer
walakini but, however
kwa maana because, since, that is to say
-badilika be changed
kwa upande on the other hand (from the other direction)
mwingine
karibu nearly (near, nearby)
jirani neighbour
idadi total, number (population)
walio they who are (wa + li + o)
-pungua diminish, decrease, be reduced
1111
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
4211
179