S
UBIRA
: Tafadhali niambie wewe hufanya nini kila siku?
B
I
. R
OSA
: Kila siku mimi huamka mapema sana, kama saa
kumi na nusu hivi. Baada ya kusali, mimi huwapikia
familia yangu chakula cha asubuhi. Baada ya kula,
binti yangu huenda sokoni kuninunulia vyakula,
kama vile mchele, unga, nyama, ndizi na kadhalika.
Baada ya kuniletea vyakula hivyo, yeye huenda
shuleni na mimi huenda kazini. Hapo kazini mimi
huanza mara moja kuwatengenezea wateja chakula.
Chakula cha mchana hupakuliwa toka saa sita
mpaka saa tisa na nusu. Mimi hurudi nyumbani saa
kumi alasiri. Baada ya kufika nyumbani, mimi
huwapikia familia chakula cha jioni. Basi!
S
UBIRA
: Asante.
B
I
. R
OSA
: Karibu.
Vocabulary
jina la kupanga nickname
mpishi cook, chef
-pikia cook for (cf. -pika, cook, see Language structure for
further explanation)
wafanyakazi workers (sing. mfanyakazi)
ofisi office(s)
maaskari polisi policemen (sing. askari polisi, cf. askari, soldier)
mafundi craftsmen, mechanics, technicians, experts
(sing. fundi)
hufanya usually do (see Language structure for further
explanation)
kila every
-amka wake up, get up
mapema early, earlier, soon
-sali pray
-nunulia buy for, buy from (cf. -nunua, buy)
kama vile for example, such as
mchele rice (uncooked)
unga flour (any powder-like substance)
nyama meat
na kadhalika et cetera (abbreviation: n.k.)
-letea bring to, fetch for (cf. -leta, bring, fetch)
-anza start, begin
mara moja immediately, at once (once)
1111
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
4211
151