(It is now the end of the month, and Sandra’s parents have arrived.
Sandra tells Leila about her parents’ arrival)
L
EILA
: Wazazi wako wamefika salama?
S
ANDRA
: Ndiyo, namshukuru Mungu.
L
EILA
: Wako wapi sasa?
S
ANDRA
: Wako mjini. Wanakaa Palm Beach Hotel. Nitarudi pale
baadaye.
L
EILA
: Je, watatembelea sehemu nyingine za Tanzania?
S
ANDRA
: Ndiyo. Baba yangu alisema kwamba anataka kufika
Arusha apande Mlima Kilimanjaro, lakini mama yangu
alisema kwamba baba atapanda mlima huo peke yake
kwa sababu, kwa upande wake, bila shaka mama
atashindwa.
Vocabulary
wazazi parents (sing. mzazi)
-tembelea visit (someone)
mwishoni mwa at the end of (mwisho, end, + ni, at, and mwa, of)
Safi sana! Great!
-karibishwa be welcomed, be received/invited
(passive of -karibisha)
mara time(s)
kwa kweli in fact, in truth, to be true
bara continent, mainland, interior
-tembelewa be visited (passive of -tembelea, visit)
mwanzoni in the beginning (mwanzo, beginning/start, + ni, at, in)
mwezi ujao next month (lit. the month which comes)
salama safely, securely, peacefully, calmly
(also a noun: peace, safety)
-shukuru be thankful, grateful
Mungu God
wako they are in/at (see Language structure after Dialogue 2
below for the use of the locative copula)
pale there (see Language structure below for this place
class demonstrative)
baadaye later on, afterwards
sehemu part, section, portion
nyingine another, some (other)
-panda climb, mount, board, go up
1111
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
4211
133