Masomo ya Amos na wenzake hayasemeki.
Hakuna watu wengi kwa sababu havivunjiki.
Pesa hizi kutoka Malawi kwa sababu njia hii haipitiki.
Maneno yale mabaya kwa hiyo kazi hii haifanyiki.
Reading
Maneno ya Teknolojia Mpya
Kama katika sehemu zote za dunia, kuna maendeleo muhimu ya
teknolojia katika Afrika ya Mashariki yanayoathiri jinsi watu
wanavyoishi, wanavyosoma, na wanavyowasiliana. Kwa vingi vya
vifaa vya umeme vinavyotumika, kuna maneno mapya vilevile.
Baadhi ya maneno hayo, kwa mfano, faksi na ‘kompyuta’, yana-
tumia istilahi ya Kiingereza tu, bali mengine yanatumia istilahi ya
Kiingereza na ya Kiswahili. Kwa mfano, neno la ‘internet’ linatu-
mika kando ya neno la ‘mtandao’, na neno la ‘mobile’ linatumika
kando ya ‘simu ya mkononi’. Kwa kupelekeana barua juu ya
kompyuta, tunaweza kusema ama kuandika ‘barua umeme’, ama
kuandika ‘email’. Kwa sasa, hakuna shida kutumia maneno mawili
kwa jambo moja tu, lakini inawezekana kuwa katika wakati ujao
kutakuwa neno moja tu linalotumika popote.
Vocabulary
teknolojia technology
maendeleo progress, development (cf. -endelea, progress, -enda,
walk)
muhimu (adj.) important
-athiri influence, affect (infect, harm, spoil, damage)
vifaa supplies, equipment, tools, appliances (sing. kifaa)
istilahi terminology, terms
kando ya next to, beside, alongside
shida problem, difficulty
-wezekana be possible
wakati ujao the future (future tense)
popote anywhere, wherever
1111
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
4211
221