Exercise 3
1 Mzee Athumani aliwaleta Bw. Nick na Bi. Kathy waone kikundi
cha tarab kinafanya mazoezi ya muziki. 2 Ndiyo, kati ya ala za
muziki walizoziona kulikuwa na kodiani. 3 Wanawake hao
waliokuwa wamekaa pale upande wa kulia walikuwa kikundi cha
waimbaji wanaoimba kwa pamoja. 4 Bi. Kathy alifurahi kwa sababu
alipata nafasi ya kuona muziki wa tarab Unguja. 5 Ndiyo, Bw. Nick
alifurahi pia. 6 Katika sentensi ya mwisho ya mazungumzo haya
Mzee Athumani alisema: ‘Karibuni tena.’
Dialogue 3
1 Kathy likes rap, reggae, pop and tarab. 2 Amos likes African
music, particularly Congolese disco music. 3 Kathy refused to go
to the nightclub because she was tired.
Exercise 4
1 Si kweli. 2 Kweli. 3 Si kweli. 4 Si kweli. 5 Kweli. 6 Si kweli.
7 Kweli. 8 Si kweli. 9 Kweli. 10 Si kweli.
Exercise 5
1 Wakati wa asubuhi mabasi mengi yanajaa watu wanaokwenda
kazini. 2 Basi limejaa kwa hiyo kuna watu wengi ambao wamesi-
mama. 3 Watu hawa wamekaa vitini. 4 Leo nilimwona mwana-
mume ambaye amevaa kanzu. 5 Baada ya kula chakula nimeshiba.
6 Kathy hawezi kufika klabuni, amechoka. 7 Sasa Kathy amelala.
8 Watu wanakasirika kwa hiyo wanaanza kugombana. 9 Vikombe
vyote vimevunjika. 10 Baada ya kusikia habari nzuri wamefurahi.
Exercise 6
1 During the morning, many buses are filled with people who are
going to work. 2 The bus is full, so there are many people who
are standing. 3 These people are sitting on the chairs. 4 Today I
saw the man who is wearing the kanzu. 5 After eating the food I
am full. 6 Kathy can’t reach the club, she’s tired. 7 Now Kathy is
sleeping. 8 The people are angry, so they’re starting to quarrel. 9
All the cups are broken. 10 After hearing the good news, they’re
happy.
1111
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
4211
263