Ninacheza mpira na rafiki yangu I play football with my friend
Ninacheza mpira na rafiki zangu I play football with my friends
Amekwenda sokoni na dada yake She has gone to the market with her sister
Nyanya yangu mkali My grandmother is severe
EXERCISES
EXERCISE 1 : Translate into Swahili :
Salt, pepper, a banana, a coconut, a dog, a cat, a fish, a goat, a danger, a loss, sadness, the value, ice, cold,
rain, a way, a bottle, a drug, soap, a plate.
a.
My grandmother, my grandfather, my friend, my friends, this sister-in-law, these sisters-in-law, my trousers, my
clothes, my pen, this large lion, this little cat, this fierce dog, my tea, your coffee, a great sadness, a great
danger, bad luck, delicious bananas, rotten coconuts, a long way.
b.
EXERCISE 2 :
Translate into English :
Kahawa, chai, siagi, sukari, thamani, mbuzi, mbwa, mbu, nguvu, mvua, nuru, hewa, ardhi, bahari,
mboga, nyama, karatasi, ngoma, sahani, ndugu, rafiki, askari, hasara, ruhusa, ndege.
a.
Rafiki zako, mama yangu, dada yake, kaka yetu, nyanya yako, nguo zangu, suruali yake, chupa zetu,
barua yangu, kalamu yako, sahani zake, ruhusa yako, mbwa yangu, kuku zao, furaha yake, shida zetu,
ndizi zao, nazi zangu, paka yako, hasara yenu.
b.
EXERCISE 3 :
Translate into English :
Mpishi amepika chai na kahawa.1.
Wanafunzi wana karatasi na kalamu.2.
Unataka nyama au samaki ?3.
Mnazi huu una nazi nyingi.4.
Gari lako ni hatari kubwa njiani.5.
Mtoto anakula mkate na chai asubuhi.6.
Kuna nyama leo ? - Hakuna.7.
Nimepotea paka yangu mdogo.8.
Chapter 20 http://mwanasimba.online.fr/E_Chap20.htm
4 of 5 4/4/09 3:45 PM