ku-tumisha to assign a task to
someone
mtumishi (wa-) a servant
ku-tumiza to assign a task to
someone
utumizi (ma-) usefulness
employment
service
EXERCISES
EXERCISE 1 : Translate into Swahili :
A messenger, a believer, a drunkard, a shepherd, players, spectators, parents, a tailor, a farmer, a servant, a
creature, a toddler, a driver, a lover, a leader.
a.
A declaration, an agreement, a blessing, a prayer, faith, repentance, patience, salvation, destruction, a
shortage, tranquility, development, favouritism, affection, forgetfulness.
b.
A song, a way, a dream, a key, a cover, a journey, small change, a village, a pebble, a spoon, a saucer, a
building, a large snake, a large bird, a pride of lions.
c.
EXERCISE 2 :
Translate into English :
Waimbaji waliimba nyimbo nzuri.1.
Mlimaji analima shamba lake.2.
Wavuvi wamekwenda baharini kuvua usiku.3.
Huyu mlevi ni mgomvi sana.4.
Kuna walinzi wawili mbele ya jumba la rais.5.
Siwezi kufungua nyumba yangu kwa sababu nimepotea ufunguo wangu.6.
Kizibo cha chupa hii kiko wapi ?7.
Leo usiku, nimeota ndoto njema : nilioa mpenzi wangu.8.
Kijiji chetu hiki kinaendela vizuri.9.
Tajiri huyu ana watumishi wachache na wapishi wawili.10.
Usikose kusikiliza hotuba ya kiongozi wetu katika redio.11.
Siku hizi hatuna ukosefu wa bidhaa madukani.12.
Watamazaji watukufu, sasa mtaangalia mchezo wa mpira baina ya wachezaji wa Tanzania
na Kenya.
13.
Masimba wamelala msituni, kando ya barabara.14.
Rais alituambia tujitolee kwa maendeleo ya nchi yetu.15.
Chapter 43 http://mwanasimba.online.fr/E_Chap43.htm
6 of 7 4/4/09 4:01 PM