Dialogue 3
Leo and Victoria are now discussing travel arrangements with fellow
students, Subira and Trevor, who will accompany them on the
journey
1 The students will visit how many countries and in what order?
2 Approximately how long will the journey take?
3 Who offers to take the passports to the embassy?
T
REVOR
: Je, treni ina behewa la kulia chakula?
V
ICTORIA
: Ndiyo, ina behewa la kulia chakula.
S
UBIRA
: Katika safari yetu, tutapitia nchi ngapi?
L
EO
: Tutapitia nchi nne: ya kwanza Zambia, ya pili
Zimbabwe, halafu tutapita Msumbiji bila ya kusimama
kuelekea Malawi. Baada ya kukaa Malawi, tutarudi
Tanzania. Safari nzima itachukua muda wa karibu wiki
nne.
T
REVOR
: Bila shaka safari kama hiyo itatupa elimu zaidi kuhusu
mambo ya Afrika Mashariki.
L
EO
: Kuingia nchi hizo tutahitaji viza. Tutaweza kupata viza
kwenye ubalozi. Kesho nitazichukua pasi kwenye
ubalozi.
V
ICTORIA
: Haya, tutakupa pasi.
T
REVOR
: Mimi ni Mkanada, kwa hiyo nina pasi ya Kanada.
S
UBIRA
: Nilizaliwa Kenya, kwa hiyo pasi yangu ni ya Kenya.
Bibi Victoria, una utaifa gani?
V
ICTORIA
: Mimi ni Mghana. Nina pasi ya Ghana. Bwana Leo, una
utaifa gani?
L
EO
: Taifa langu ni Uingereza. Basi! Kanada, Kenya, Ghana
na Uingereza sisi sote tunasafiri pamoja. Tutajiita
‘Umoja wa Mataifa!’
T
REVOR
: Does the train have a dining car?
V
ICTORIA
: Yes, it has a dining car.
S
UBIRA
: How many countries will we visit during our trip?
L
EO
: We’ll visit four countries: the first, Zambia, the second,
Zimbabwe, and then we will pass non-stop through
Mozambique on to Malawi. After staying in Malawi,
we’ll return to Tanzania. The complete journey will take
a period of nearly four weeks.
T
REVOR
: Without doubt a trip like this will give us more know-
ledge about East Africa.
72